Shauri la mchezaji Feisal Salum dhidi ya waajiri wake Yanga tayari limesikilizwa Leo 2 march 2023 Kwa mara ya pili ikiwa ni baada ya Klabu yake hiyo kupeleka shauri hilo juu ya ukiukwaji wa hatua za kuvunja mkataba..
Akizungumza na vyombo vya habari mmoja wa mawakili wa Feisal Salum, Fatuma Karume amesema kwa sasa wanasubiri maamuzi…
Aidha ameweka wazi kuwa shauri hilo limeendeshwa kwa uwazi na haki hivyo wanaisubiri TFF kutoa maamuzi..

